Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,638
- 3,850
Wanaweza wakafanikiwa mkuu mbona Zanzibar wameweza kudhibiti banaaaAcheni kujidanganya, mifuko ya plastic itaadimika kwa mda mdgo sana kupisha huu upepo, bt itarudi kwa kasi ya kimondo, marufuku ya hii mifuko ilianzia mwaka 2004 kwa ambao hamujui.