Okota mbegu kapande.sina picha ya ikiwa midogo hiyo nilioiona imeshakua miti mikubwa.
hayo makitu usioteshe yatakupiga hasara ya ukuta na majengo yako mizizi yake ni mibaya sana inapenya kama uzi kwenye tofali na kuanza upanuka hata ukikata na kunyoa kisiki hilo li mzizi lake linachipua tenaHapana, nadhani imeboreshwa maabara ndio maana inaitwa ya kisasa.
Hayo ya kisasa au hata ya asili?hayo makitu usioteshe yatakupiga hasara ya ukuta na majengo yako mizizi yake ni mibaya sana inapenya kama uzi kwenye tofali na kuanza upanuka hata ukikata na kunyoa kisiki hilo li mzizi lake linachipua tena
kifupi ni hasara halifai hata kwa kuni kwani moshi wake una nuka kama kinyesi
mizizi yake inaenea kwa umbali gani? hapo nitakapoipanda kuna umbali wa kama 15M kufikia nyumba.hayo makitu usioteshe yatakupiga hasara ya ukuta na majengo yako mizizi yake ni mibaya sana inapenya kama uzi kwenye tofali na kuanza upanuka hata ukikata na kunyoa kisiki hilo li mzizi lake linachipua tena
kifupi ni hasara halifai hata kwa kuni kwani moshi wake una nuka kama kinyesi
Kama una utaalam na miti, sio lazima nipate hiyo M40, sifa za miti ninayotaka ni:hayo makitu usioteshe yatakupiga hasara ya ukuta na majengo yako mizizi yake ni mibaya sana inapenya kama uzi kwenye tofali na kuanza upanuka hata ukikata na kunyoa kisiki hilo li mzizi lake linachipua tena
kifupi ni hasara halifai hata kwa kuni kwani moshi wake una nuka kama kinyesi
Hongera. Unaweza kutuonyesha picha?Hatimaye nimeipata ile miche niliokua naitafuta,, nimeipatia Msata
Msata sehemu gani mkuu?Hatimaye nimeipata ile miche niliokua naitafuta,, nimeipatia Msata
Wewe unafahamu anataka kupanda wapi? Sisi mashambani tunaofanya kilimo organic hii ni miti ya lazima sana shambani.hayo makitu usioteshe yatakupiga hasara ya ukuta na majengo yako mizizi yake ni mibaya sana inapenya kama uzi kwenye tofali na kuanza upanuka hata ukikata na kunyoa kisiki hilo li mzizi lake linachipua tena
kifupi ni hasara halifai hata kwa kuni kwani moshi wake una nuka kama kinyesi