Natafuta mganga wa kienyeji

Natafuta mganga wa kienyeji

Maisha ya binadamu ni kiza kinene sana maisha ni vita, ni mapambano kuna muda inakupasa kufanya lolote litakalowezekana kukuletea amani na furaha. Mungu akujalie wepesi
 
Naomba munipatie mganga anayeweza kutibu maradhi ya mazingaombwe ambaye
mgonjwa huyu hataki kusema na mtu yeyote ule nyumbani hata mama ake wa kumzaa.....na vile vile na maradhi mengine
Njoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama ww
 
Back
Top Bottom