Kamwe usidanganyike na waganga wa kienyeji. Nina uhakika afya ya mgonjwa itakuwa mbaya zaidi miezi michache baadaye na anaweza kupoteza maisha ama mtu katika familia yenu atakuwa kafara bila nyie wenyewe kujua chanzo ni nini. Huo ndio mchezo wa shetani kupitia watumishi wake, waganga wa kienyeji.Naomba munipatie mganga anayeweza kutibu maradhi ya mazingaombwe ambaye
mgonjwa huyu hataki kusema na mtu yeyote ule nyumbani hata mama ake wa kumzaa.....na vile vile na maradhi mengine
Dah....unatumia computer?Mimi mganga wa Kienyeji mzoefu hapa Kapalangamsenga Katavi Naomba uje Pm kwani nitakutibu ndani ya saa Mbili tu matokeo nje nje
Ndugu weka namba kwa faida ya wengiMpeleke kwa Watumishi wa Mungu hutatoa hata kumi tena sometimes mnaweza kusali kwa simu tu! Ukiwa tayari nitakupa namba tena wako Arusha, Tanga, DSM au Mbeya!
Binti yangu mwaka 2016 akiwa standard seven alipata shida ya kuanguka yaani anakua possessed kipindi hicho alikua anasoma Bunge Primary School, siku moja wakawa wameenda pale Luther House Posta kuombewa kwa ajili ya mitihani yao LA kumaliza! Aiseeee mapepo yalilipuka vibaya mno!
Unaambiwa aliongea vitu vingi sana unconsciously basi yalivyotoka baadae mida ya SAA sita mchana nikapigiwa simu na namba ngeni, nikapokea akajitambulisha kwangu kama mchungaji wa KKKT akanihoji hivi kuhusu mtoto basi jioni nikaenda nikaonana nae!
Kwa kifupi binti yangu alipona na hadi sasa ile hali haijawahi kumrudia tena though niliwapigia pia wahusika maana aliwataja kuwa "hatutaki usome maana baba yako anakupenda na anaringa sana"!!
OK, kwa kifupi yuko poa so unaweza ku-opt pia njia hio kama imani yako inakuruhusu
Kwa watumishi wa mungu wale wagonjwa woote unaowaona mbele ya watumishi wamepangwa ugonjwa wa uongo ili wazidi kupata sadaka na kukubalika mbona watumishi wa mungu na manabii hawaendi bugando muhimbili kcmc iloganzala kufanya maombi na wagonjwa woote wainuke kitandani
Huyu Dada Anita yeye ni Kipofu! Na huo upofu aliupata kutokana na shida za uchawi na mazindiko! OK ana historia ndefu kwahio usimtumie sms hataweza kuisoma! Anaishi kwa ushuhuda and utabarikiwa Sana. Huyu wa Azania alishahama yuko Tabata KKKT nadhani sasa, nilishahama Dar kwahio sina mawasiliano nae! Namba hizo hapo BrethrenNdugu weka namba kwa faida ya wengi
Dah....unatumia computer?
Mmmh!.. hayasemekiMpeleke kwa Watumishi wa Mungu hutatoa hata kumi tena sometimes mnaweza kusali kwa simu tu! Ukiwa tayari nitakupa namba tena wako Arusha, Tanga, DSM au Mbeya!
Binti yangu mwaka 2016 akiwa standard seven alipata shida ya kuanguka yaani anakua possessed kipindi hicho alikua anasoma Bunge Primary School, siku moja wakawa wameenda pale Luther House Posta kuombewa kwa ajili ya mitihani yao LA kumaliza! Aiseeee mapepo yalilipuka vibaya mno!
Unaambiwa aliongea vitu vingi sana unconsciously basi yalivyotoka baadae mida ya SAA sita mchana nikapigiwa simu na namba ngeni, nikapokea akajitambulisha kwangu kama mchungaji wa KKKT akanihoji hivi kuhusu mtoto basi jioni nikaenda nikaonana nae!
Kwa kifupi binti yangu alipona na hadi sasa ile hali haijawahi kumrudia tena though niliwapigia pia wahusika maana aliwataja kuwa "hatutaki usome maana baba yako anakupenda na anaringa sana"!!
OK, kwa kifupi yuko poa so unaweza ku-opt pia njia hio kama imani yako inakuruhusu
Sijakuelewa NduguMmmh!.. hayasemeki
.humu watu wapo kimya ila...
Hata mm huwa nacheka balaa!Mkuu hua nafrahia sana comments zako
Naomba munipatie mganga anayeweza kutibu maradhi ya mazingaombwe ambaye
mgonjwa huyu hataki kusema na mtu yeyote ule nyumbani hata mama ake wa kumzaa.....na vile vile na maradhi mengine
Labda anatibu kwa computer pia, kama wale wanaotengeneza simu kwa computer.Dah....unatumia computer?
Dah ...Labda anatibu kwa computer pia, kama wale wanaotengeneza simu kwa computer.