Natafuta mganga wa kienyeji

Natafuta mganga wa kienyeji

Black cat

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
16
Reaction score
21
Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni mwanamke umri haujaenda sana ila nipo serious anayejua anipm maneno ya kupondeana sina muda huo nipo serious ila naomba msinielekeze kwa wanaotoa kafara siwezani na hilo.
Nataka biashara zangu tu ziende vizuri.
Nategemewa sana na familia yangu .
Naombeni msaada mimi sijatumwa na mtu nimejituma .
NIPO.SERIOUS KABISA.
 
Umejuaje kua baada ya biashara zako kushuka mganga wa kienyeji ndiye atakayezipandisha?

Umejaribu ku study root cause ya biashara zako kushuka?

Huko kwa mganga ndio sasa unaenda kushuka na wewe pia na sio biashara zako tu!
huyo mganga kama anaweza kuzipandisha biashara zako si angekua yeye ni mfanyabiashara mkubwa tuu?!
 
Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni mwanamke umri haujaenda sana ila nipo serious anayejua anipm maneno ya kupondeana sina muda huo nipo serious ila naomba msinielekeze kwa wanaotoa kafara siwezani na hilo.
Nataka biashara zangu tu ziende vizuri.
Nategemewa sana na familia yangu .
Naombeni msaada mimi sijatumwa na mtu nimejituma .
NIPO.SERIOUS KABISA.
Pole, sio peke yako walioathirika na biashara zao kuzorota na zingine kufa kabisa. Kuna kitu hakijakaa vizuri na hakijapata mfumbuzi.
Hata hao waganga wa kienyeji wanalalamika.
 
Sijaelewa unataka kuanzisha mapenzi, mahusiano, urafiki na mganga..??
 
Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni mwanamke umri haujaenda sana ila nipo serious anayejua anipm maneno ya kupondeana sina muda huo nipo serious ila naomba msinielekeze kwa wanaotoa kafara siwezani na hilo.
Nataka biashara zangu tu ziende vizuri.
Nategemewa sana na familia yangu .
Naombeni msaada mimi sijatumwa na mtu nimejituma .
NIPO.SERIOUS KABISA.
Pole sana sikushauri hata maramoja uingie huko
Hakufai
Kuna kafara
Kuna matambiko
Kuna mateso
Kuna maagano mabaya kabisa
Nasema tena sikushauri abadan
Fanya hivi
Jibidiishe na biashara yako
Jifunze mbinu mbalimbali za kukuza biashara
Zingatia muda
Zingatia matumizi
Thamini kila dakika kila sent
Kuwa na kumbukumbu za biashara
Jifunze kwa waliofanikiwa

Tiba pekee isiyo na madhara utakayotumia bila shida na bila gharama ni chumvi ya mawe
Changanya kiganja kimoja kwenye ndoo ya lita 20 ogea mara 2 kwa siku kisha eneo lako la biashara mwaga chumvi kulizunguka ndani na nje
 
Mtoa mada hakuhitaji ushaur wala njia mbadala yeye anaitaji mganga tu, kujikuta watakatifu kama hamjawai kuwatumia waganga wa kienyej huu n unafki
Binafs kuna mmoja namjua kutokana na maelezo yake yeye n mzur kutibu waliologwa na hiz shida za ndoa, ila sjui upande wa biashara
 
Back
Top Bottom