Natafuta Mfugaji Nyuki Moro Au Arusha For Partnership

Natafuta Mfugaji Nyuki Moro Au Arusha For Partnership

Elisha Ray

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
323
Reaction score
94
Habari ndugu zanguni hapa ndani.

Ninatafuta mtu wa kushirikiana naye katika ufugaji nyuki maeneo ya Morogoro au Arusha kwa ajili ya uvunaji wa sumu ya nyuki. Awe na mizinga aina ya Langstroth (pichani). Kwa maelezo zaidi tafadhali njoo inbox.

Nahitaji mtu aliye serious na si mbabaishaji.

Asanteni.
 

Attachments

  • Langstroth-Hive-Deep.jpg
    Langstroth-Hive-Deep.jpg
    44.1 KB · Views: 88

Similar Discussions

Back
Top Bottom