Natafuta mfanyakazi.

Natafuta mfanyakazi.

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
habari wakuu,ninayo catering ambayo tunatengeneza cup cakes,tambi za dengu,pamoja na crips aina zote(ndizi,mihogo na viazi)secta zote zna wafanya kazi isipokuwa kwenye crips,kwa yeyote anaeweza kuniunganisha na mtu anaeweza kutengeneza nitashukuru sana.kama yupo tafadhal ni p.m
 
Back
Top Bottom