biashara kwa bei ya jumla

biashara kwa bei ya jumla

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
habari wakuu,nimefanikiwa kufungua catering yangu,natengeneza cup cakes,crips aina tofauti kama za mihogo,ndizi na viazi kwa size tofauti kulingana na order.pia karanga za mayai zinapatikana.bei zetu ni nafuu na packages safi.Tunakaribisha order kwa wanaohitaji tupo dar.asanteni.#
 
asante sana mkuu..cup cakes ni tsh.850 kwa pc kumi.karibu.bt it can be negotiated due to order capacity.thanks
 
Back
Top Bottom