Natafuta mfanyakazi yoyote wa TTCL

Natafuta mfanyakazi yoyote wa TTCL

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
9,657
Reaction score
19,274
Habari za mda huu;
Jamani natafuta mfanya kazi yoyote wa Ttcl
kama yupo humu namuhitaji ani PM.
nina shida Muhimu kidogo.

asanteni.

NMESHAREKEBISHA asanteni sana.
 
TTCL ni janga siwapendi japo wana facilities zote zinazo takiwa kuwa kampuni no 1 ya mawasiliano Tz.... nimelipia internet na simu mwaka sasa wameunga internet simu hawajali.... tatizo wazee wengi pale...
 
Ni vile hakuna wazungu pale ndio maana mambo yamelala.wanatoa huduma ya internet lakin jalibu kuwatumia email uone kama wanasoma na kujibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom