Mvulana utaki?Natafuta msichana aliyesomea mambo ICT mwenye uzoefu wa kufanyakazi za stationary
Aaaanh sawa [emoji41]Msichana mwepesi kufanyakazi tofauti na mvulana
kama ni wa kiume sema unatafuta mke.ujuzi/taaluma haichagui jinsia.Halikuhusu mm natafuta mfanyakazi
Yupo hapa mkuu, au ushapata?Natafuta msichana aliyesomea mambo ICT mwenye uzoefu wa kufanyakazi za stationary