Natafuta mfanyakazi wa restaurant | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mfanyakazi wa restaurant

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kima mdogo, Oct 29, 2011.

 1. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  awe msafi, mcheshi, ajue kupika vyakula mbalimbali, awe mtulivu na awe mkazi wa MOSHI MJINI. kwa mawasiliano zaid ni pm
   
 2. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  duh Kima Mdogo anatafuta mfanyakazi!
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapo inaonyesha hujui unachotafuta, je ni mfanyakazi wa kupika jikoni au kuserve wateja mezani au wa kukaa counter na kukusanya pesa au wa kuosha sahani na masufuria au???? mkuu elezea vizuri
   
 4. C

  Criss Alex Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi nikotayar kaka natafuta kaz but how abt mshahara? Email me at crissalex1@live.com. Au call me +255719665022. Au +255688355306.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mi nipo mpwapwa ila naweza kuja moshi. Mapishi nayaweza na nimtulivu sana. Naweza kuapply?
   
Loading...