Natafuta mentor/mentors

Natafuta mentor/mentors

Sasa wewe nwenyewe ulisha chagua sasa kibwagizo cha nini unatuzuga utaletewa walimu wapo hapo tena mahili na wenye heshima zao na ujuzi na wengine wamemfundisha Mentor au wewe unata huyo huyo MENTOR VEROSSA??
 
Last edited by a moderator:

labda hatujaelewana mkuu..kwa kusema "nilishachagua" unamaanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe nwenyewe ulisha chagua sasa kibwagizo cha nini unatuzuga utaletewa walimu wapo hapo tena mahili na wenye heshima zao na ujuzi na wengine wamemfundisha Mentor au wewe unata huyo huyo MENTOR VEROSSA??
salama KakaKiiza?
amesema alishapata, labda kama sasa anataka Mentor wa mambo mengine, lol!
 
haya my luv Mentor waitwa huku kuna mtu anakuhitaji sana kwani amesema anapenda yeye, na wala hachagui ugender wako kuja kuno
Shikamooni wakuu..hope wote mpo salama.mbarikiwe sana,mimi ni graduate,natafuta mentors especially waliosomea business related courses na ikiwa marketing itakua vizuri zaidi.Pia wenye uzoefu au wamewahi kua walimu WA vyuo..kwa sababu ni moja ya vitu navopenda.
Umri wowote.
Gender yoyote.
Nashukuru sana in advance.
 
Last edited by a moderator:
daisyvicky my dear,

Where was I?

Tangu nipo chuoni nimekuwa student mentor na hata sasa ninafanya kazi nimekuwa nikiwasaidia wenzangu wengi katika mambo mbalimbali. And you know what, as you mentor others to be better people and achieve their dreams, you also get to improve your life and achieve your dreams.

I encourage you to not just look for a mentor but seek to mentor others too..it is more rewarding!

I am a computer science graduate wa muda mrefu ila kwa sasa nimejikita zaidi katika utawala wa rasilimali watu.

Tell me what exactly did you want mentoring on?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom