Okay nimekupata...
karibu
Asante usihofu nitakusaidia kupata hao mentors wenye vigezo........
Am middle age, graduate B.com fin, PGDEED, MBA . Experienced more than 10 yrs, business as director ? wewe nipe profile yako please ! ! ! je nakufaa as your mentor ?
Mentor unaitwa/unatafutwa hapa
Mentor kivipi tena...? wewe bana wewe...!!!
.......Labda nimefikiria mbali sana....lakini wewe si she au..?kwani vipi Dr,hujaelewa nini?
.......Labda nimefikiria mbali sana....lakini wewe si she au..?
.......my bad... aise uwe mwangalifu lakini...!!labda nambie umewaza nini..yas ni she..kwani wadada hatusomi?hatuna career goals?
.......my bad... aise uwe mwangalifu lakini...!!
Huu umentor mentor sijui role model mwisho wake kama sio mimba sijui..
Ngoja wakware waje wajipachike ma experience hapa ya career zao hapa mdada aone kapata mentor kumbe kapata mentali
wifi yake mtu, mbona hukunipigia chapuo hili dili? daisyvicky umeshapata mentor?oukey sasa kwa mantiki hiyo mimi sifai wacha waje wenyewe, maana mie naweza kukulisha kasa mbaya hadi ukajistukia umeingie choo cha jinsia ingine. Asante kwa taarifa kumbe kuuliza si ujinga na kweli elimu haina mwisho heheheheheee. All the best
wifi yake mtu, mbona hukunipigia chapuo hili dili? daisyvicky umeshapata mentor?
wewe kwanza tuambie ni she/he?
usinikaribishe, jibu maswali yangu mkuuhehe karibu mkuu Fixed Point
usinikaribishe, jibu maswali yangu mkuu
mmoja anakutosha...... zaidi ya mmoja watakuconfuse na kukumix, lol!mi ni she..mepata mmoja bado wengine