Natafuta mentor/mentors

Natafuta mentor/mentors

daisyvicky

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
343
Reaction score
198
Shikamooni wakuu..hope wote mpo salama.mbarikiwe sana,mimi ni graduate,natafuta mentors especially waliosomea business related courses na ikiwa marketing itakua vizuri zaidi.Pia wenye uzoefu au wamewahi kua walimu WA vyuo..kwa sababu ni moja ya vitu navopenda.
Umri wowote.
Gender yoyote.
Nashukuru sana in advance.
 
Marhaba !
Unatafuta mentor huku MMU umepotea huku kumentor kwao ni kikubwa kubwa watakuumiza!
 
hehe mkuu.nimeona huku kuna watu wengi na nimekuzoea kuliko majukwaa engine..najilinda,I will be safe
 
thaanx my dia..mekupenda wewe..kwani huezi kua my Mentor?

mwenzangu nakusoma kizungu kote huku ila mtu kuniomba niwe montor wake sijawahi, kwani ndo nini?
Mie najua mentor mentali yaani zimefyatuka flani hivi chizichizi bange kidogo, mirungi kwa sana na pombe kwa mbaaaliii...............................
Hebu nieleweshe hapo halafui ndo nikupe jibu.
 
haha umenifurahisha mama Mentor ni mtu ambaye anakua kama role model..anakua more experienced kwenye particular field..anakuguide,anakua advisor Wako na kukuambia how things are kwenye field husika.hapo ni kwa ufupi
 
Hahaa haaaa....role model basi!!
 
oukey sasa kwa mantiki hiyo mimi sifai wacha waje wenyewe, maana mie naweza kukulisha kasa mbaya hadi ukajistukia umeingie choo cha jinsia ingine. Asante kwa taarifa kumbe kuuliza si ujinga na kweli elimu haina mwisho heheheheheee. All the best
 
hahaha aksante mwaya..hope watapatikana humu ndani.ubarikiwe hata hivo
 
Hahaa haaaa....role model basi!!

ntaweza wapi mambo hayo ya role model na mie figa ya role model sina, hapa wanatakiwa wakina miriam odemba, naomi campbell, happiness magese na wanaofanana nao sasa mie ni bantu design ngoja waje bana nsijea nguka stejini bure steji ikavunjika au kuweka ufa. Maana role model pia shurti uvae yale teremka tukaze, very very very high heels wakati mie nimezoea kuparaza na malapa majanga haya kwangu kuntaka ni role model!!
 
haha huishiwi vituko..but najua umeelewa now.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom