Natafuta mdhamini wa NGO

sandramalando

Member
Oct 25, 2016
37
16
Mimi in binti mwenye umri wa miaka 25. Natafuta mdhamini atakayeweza kunidhamini katika ndoto niliyonayo.

Nahitaji kuanzisha NGO ambayo itatetea haki za wajane, wanawake waliodhulumiwa na waliotelekezwa na mimba, pamoja na kuwapa elimu walioathirika na virusi vya UKIMWI.

Lengo la hayo yote ni kumfanya mwanamke athaminike katika jamii na kupunguza kasi ya maambukizi kwa taifa pia kuwasaidia watoto waishio katika mazingira magumu. Malengo na mikakati ni mingi ila sijapata ufadhili nikaweza kufanikisha nilichonacho kichwani.

Nahitaji mtu atakaeweza kunisaidia kwa hili. Maelezo zaidi karibu inbox
 
Nakuombea kheri ufanikiwe kumpata huyo mfadhili japo hiki kipindi ni kigumu sana.Pia unaweza kutafuta wafadhili kutoka nje ya nchi
 
Back
Top Bottom