Abel james
Senior Member
- Jun 12, 2014
- 103
- 8
Abel g ndo jina langu,umri wangu ni miaka 26,elimu yangu ni kidato cha sita na nimehitimu mwaka 2013 na kufahuru vizuri kwa daraja la pili ila sikuweza kuendelea na elimu ya juu kwa kukosa pesa na msaada,mwaka huu nimeamua kuendelea na elimu ya juu ,hvyo natafuta mdhamin yeyote mwenye mapenzi mema ambae atakua tayali kudhamin masomo yangu,nipo tayali kumfanyia lolote atakaloamua pindi niwapo au nimalizapo masomo ili mradi tu lisikiuke haki za binadamu,kwa alie tayali tuwasiliane kwa 0763175935