Natafuta mdada wa kujitolea kama Customer Care

Natafuta mdada wa kujitolea kama Customer Care

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,592
Habari wana JF,

Kutokana na tatizo la ajira nimeamua kutoa mchongo, natafuta customer care wa kujitolea ila commission ipo kama ataweza kushawishi mteja biashara ikafanikiwa (close a deal) .

Vigezo:
1. Jinsia ya kike
2. Uzoefu sio lazima bali hawe mtu mwenye kupenda kazi
3. Umri 21-32
4. Elimu kuanzia diploma mpaka Degree

Hakutokuwa na interview ukionyesha interest nakupa assignment (unapewa wateja watano ) unafanya ukifanikiwa tunaanza kazi.

Majukumu ya kazi
1. Kupokea simu za wateja na kuongea nao
2. Kufuatilia mahitaji ya mteja na kumshawishi kuhakikisha biashara inafanyika.

Kama utakuwa ushawai fanya kazi za sales itakuwa faida sana kwa nafasi hii.

Please usinitume CV wala vyeti, kama upo interest comment "interested".
Nitafanya na wewe mahojiano hapa hapa JF.
 
Ni biashara ya nini? Uko mkoa gani? Au ni kazi ambayo hata tukiwa mbali mbali itafanyika?
Wengine tuko na experience za kukaa reception kwahiyo kumcare mteja kuko damuni
 
Hivi we si hata utakuwa unapata shida kumshawishi mteja!! Maana nimekuuliza maswali matatu unajibu moja
Anyway I'm not interested dear hata nisikuchoshe
Huyu kwa kifupi amejijua kwamba ako na poor customer service, ndio maana anatafuta mwenye vigezo, hebu ngoja nimfikirie maana Nimesoma hiyo kitu 3years na kufanya field ya mwaka mzima natumaini nimekwiva hapo, nitamfikiria mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kwa kifupi amejijua kwamba ako na poor customer service, ndio maana anatafuta mwenye vigezo, hebu ngoja nimfikirie maana Nimesoma hiyo kitu 3years na kufanya field ya mwaka mzima natumaini nimekwiva hapo, nitamfikiria mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Changamkia fursa asee 😀
 
The Dreamer The Believer,.. Nimeona mmoja tayari yuko na nia,,. Mcheki tafadhali naamini utakuwa na lengo zuri si wale wanaotumia fursa kwenye madhaifu ya wengine.
 
Deadline will be on 19/02/2020 ,tarehe 20/02/2020 nitaanza kuwachek hili tusiwanyime fursa wngn .
 
  • Thanks
Reactions: Lis
Back
Top Bottom