kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 313
- 319
Yes
Hivi DZ ndio kifupi cha Domo Zege au nmechanganya mafaili
Hahahhhhh SABATO ilifanyika kwaajili ya mwanadamu, hapo binti sayuni awe makini tu kitumbua kisiingie mchanga!
Unalala sangapi mkuu... tupige hata story maana mie hapa kazini kuna kazi...
Angekuwa mrokole sijui angesingizia nini....Mkorofi wewe.
Unalala sangapi mkuu... tupige hata story maana mie hapa kazini kuna kazi...
hahahhhhhh ok!!!Mi nalala keshooooo
Umeshaharibika wewe!Hahahhhhh SABATO ilifanyika kwaajili ya mwanadamu, hapo binti sayuni awe makini tu kitumbua kisiingie mchanga!
We ni binti?Unalala sangapi mkuu... tupige hata story maana mie hapa kazini kuna kazi...
Ukorofi wangu nini hasa?Mkorofi wewe. 😊
HivyohivyoAngekuwa mrokole sijui angesingizia nini....
Hapana mkuu... kwani kutembeleana SABATO mbona haina shida kikubwa ni kuwa mwaminifu tu...Umeshaharibika wewe!
Hapana mkuu, nimeuliza tu!!We ni binti?
Nakwambia hivi umeshakengeuka wewe!Hapana mkuu... kwani kutembeleana SABATO mbona haina shida kikubwa ni kuwa mwaminifu tu...
How?Nakwambia hivi umeshakengeuka wewe!
Wasabato hawako hiviHow?