Natafuta mdada wa kimbulu

Natafuta mdada wa kimbulu tuanze urafiki tuu
Hakuna kabila la kimbulu,ila kuna eneo linaitwa mbulu.

Ni kama ukisema natafuta mdada wa kimorogoro.Huo ni mkoa ambao unakaliwa na makabila ya Kiluguru...

Mbulu kuna kabila la Kiiraq au Barbei au wafyomi.Ulitakiwa kusema natafuta msichana wa KiIraq.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…