Ngoja waje wachumba itajaa hiyo inbox yako. Wanamalizia kampeni tu za ukawa saa hizi.
du...nimependa hiyo!!!yaani post yako ya kwanza na kutafuta mchumba...Mungu ni mwema utapata!
Kuwa mvumilivu,watakuja tu wenye umri huo
missrena Mungu ni msikivu, ni mweza kwa mema ukusudiayo. Mungu akusaidie upate hitaji la Moyo wako!
Usikose kurejesha feedback.............
Jamaani na bwana atende
habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza;
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini.
ninatafuta mchumba(mwanaume) mwenye umri wa kuanzia miaka 30,mcha Mungu,mkristu, elimu kuanzia shahada kwenda juu, aliyejiajiri au kuajiriwa,muelewa, muaminifu,muwazi na mkweli.
aliye na uhitaji kama mimi na aliye serious pekee ani-pm, tafadhali kama hauko serious just spare me with the trouble please.
Nenda uwanja wa fisi kuna wachumba
Ukiacha ubabe wachumba wapo tele...haiwezekani post ya kwanza uanze na ''...just spare me with the trouble please''
Binafsi nilikuwa natafuta mchumba ila nitaendelea kusubiri aliye patient, hata kama si mcha Mungu!
Kipindi cha kampeni hiki watu wapo busy.
Nenda uwanja wa fisi kuna wachumba
kuna maisha baada ya uchaguzi so vyote vimakwenda kwa pamoja.
Hatariiiii sana