cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
Hapo kwenye nyekundu unaonekana haupo singo. Kwa hiyo unataka kumpiga chini uliyenaye? Lakini kwa sifa ulizoeleza kwamba umeoteshwa, nahisi nitakuwa ni mimi. Hebu ni PM basi tupange appointement.wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angel,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''NAKUTAFUTA WEWE ULIYEOTESHWA KUWA I CHEUSIMANGALA NIMETOLEWA UBAVUNI MWAKO''
LUV YOU ALL
eeeeeh!ok, kumbe ni ndoto, safi sana!
Hapo kwenye nyekundu unaonekana haupo singo. Kwa hiyo unataka kumpiga chini uliyenaye? Lakini kwa sifa ulizoeleza kwamba umeoteshwa, nahisi nitakuwa ni mimi. Hebu ni PM basi tupange appointement.
huwa najivunia ninapo sikia heshima na upole wakoooooooo,kwa watu wa pembeni............,naupenda sana huu wimbo
usiseme ndoto sema maono.kuna tofauti.nimeoneshwa kabisa mwenza wangu.
roho kanikataza kufanya hivyo,kasema yeye atarekebisha kila kitu.na nilipomtajia jina lako akanionesha taa nyekundu.
Hebu cheusi wangu cheki vizuri hiyo data sheet yako ya maono!hebu niambie, nipo angalau kwenye at least the best 10?
Are you serious au unatania maana kama nilivyokuona kwenye picha kama ni yako au la unatisha una figa namba nane, nimekupenda uko wapi nitafute kwa namba hii 0719771022 halafu mambo mengine baadae, Ok !
Hebu cheusi wangu cheki vizuri hiyo data sheet yako ya maono!hebu niambie, nipo angalau kwenye at least the best 10?
Hiyo sura uliyoiota, sura yake ilikuwa ya kizee au serengeti boys?