cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 492
wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angle,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''NAKUTAFUTA WEWE ULIYEOTESHWA KUWA I CHEUSIMANGALA NIMETOLEWA UBAVUNI MWAKO''
LUV YOU ALL