pole mwaya
utampata tu
watu umu wana utani tu bt km kuna wa ukweli atakucheki tu'
wanaojibu umu hawamo siriaz lakin ao wenye maitaj km yako wala hawatasumbuka kujibu umu jf watakuchek kwa simu!!!!!!!!!
Kumbe JF ni soko la wachumba. Huyu jamaa ana makengeza au chongo kabisa. Weka picha yako full body hapa.Nahitaji mke so nimeamua kutafuta mchumba atakae kuja kwa my wife,sihitaji mwanafunzi wa sekondari,kama wa chuo poa,awe anajua majukumu yake,unaweza kunipata pia kwa namba hizi,0652505115,0769072588 na 0786256380,umri kuanzia miaka 23 hadi 35
Incoming ndo nini?? au ulikuwa unamaanisha incoming calls
"kaka humu wachumba hadimu kama smartphone kwa mmasai.... any way utapata mkuu"Nahitaji mke so nimeamua kutafuta mchumba atakae kuja kwa my wife,sihitaji mwanafunzi wa sekondari,kama wa chuo poa,awe anajua majukumu yake,unaweza kunipata pia kwa namba hizi,0652505115,0769072588 na 0786256380,umri kuanzia miaka 23 hadi 35
Kabati ya mbeo duh......kutiri KCMC?Watu wanajitoa fahamu..kaka sifa zote zipo je una kabati ya Mbeo?