Natafuta mchumba

Tafuta Mwenye Mtoto. Ndo Ataweza Kukulelea Watoto Wako. Yes Yupo Ana Mtoto Asokua Na Baba, Ana Umr 28 Ni Mhaya, Anaish Geita, Ni Mhasibu, Ila Upost Picha Yako Kwanzaaa, Haujataja Sababu Ya Kuachana Na Mwenzio
 
kan'tangaze njoo shga angu kuna kijana anatafuta mchmba😝😝😜

Thubuthuuuuu. .kwanza miaka 40 ue kijana au kibab???? Ujana alilia wapi uzee aumalzie kwangu!!!! Na degree yangu nije kulelea watoto wa mtu kwan nlkuwa nasomea bachelor of child care
 
Last edited by a moderator:

Mtani wangu na wewe umechomoa........sasa bora hata ungekubali mwanzo.......masharti yameshaongezeka na hayapungui........kwanza anataka m'beautiful maana ni mwanasiasa........ikiwa na maana kuwa.......kuna safari ya kwenda kuuza nyago bungeni.........sijui nikubali...........?........unanishaurije mtani..........
 
Mkuu utakuwa unamaanisha degree za chupi....
Maana kama ni hizi za kukesha na mabeseni yenye maji miguuni kidogo itakuwa ngumu...
 

Usikate tamaa mkuu, baada ya kusikia ww ni kada na mwanasiasa tokea kile chama kikongwe chenye mihela basi utpokea PMs nyingi sana. Nafikiri walikuwa hawajakuelewa ww ni nani???😀
 


hahahahahaas
yaliyomo yamo
 
Usikate tamaa mkuu, baada ya kusikia ww ni kada na mwanasiasa tokea kile chama kikongwe chenye mihela basi utpokea PMs nyingi sana. Nafikiri walikuwa hawajakuelewa ww ni nani???😀


hahahahaaaahahssss
hahahahahasaaahaaa
wanawske tuna kazi wallahi
 
naona nimeanza kupokea message za pm but hazifunguki....weken number tuwasiliane
 
Una miaka mingapi vile ewe kijana?! Kweli uzee mwisho "Chalinze"
 
yah mimi ni ccm damuuuu haswaaaaaaa,.....siwez jiunga na ukawa kamwe...ni mojawapo ya viongoz tena wakubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…