Ha haaa, kwa hiyo ndio unataka kusemaje hapo weye....Dah......nimekidhi vigezo vyote........ila namba 3 sasa.......ndo nshakukosa tena mpenzi..........
hAHAHAHA No. 3 ...Wengine hadi mwezi ukiwa mchanga.....kama mwezi haujawa mchanga utamjuaje sasa?
bora ungeandika Umri kuanzia 25 na kuendelea
coz hiyo kuanzia 18 hadi 20 unategemea awe mtafuta pesa kivipi wakati bado ni mtoto wa mama...Alisoma lini, akamaliza lini hadi atafute pesa? Au ni yule aliyokulia mitaani sababu ndio wanaanza kutafuta hela tangu wadogo, au anasoma huku anajiuza?
No. 7....Asiwe mpenda mawigi....Unataka Mzungu au Muarabu ? Km ni Muafrica asilia wengi huvaa wigs....
mamaafacebook ha ha ha ha wapo fyatu humu wengiSasa awe na akili timamu kwani wote tunaoingia humu akili zetu fyatu
dah......nimekidhi vigezo vyote........ila namba 3 sasa.......ndo nshakukosa tena mpenzi..........
1.awe mwanamke
2.umri 18 to infinite
3.awe na akili MBOVU
4. Awe mshugulikaji kwenye kutafuta pesa pia awe na malengo na maisha asiwe goalkeeper kwan mimi sioo falcao.
5.mrembo majiyakunde na mweupe kias
6.awe natural masuala ya kujichubua asiwe amejaribu kabisa
7.asie mpendaa mawigi
8.awe na elimu zote kuanzia elimu ya shule na elimu ya maishaa usije na ka GpA kako ka 4 point something alaf kuish na watu "F"
9.awapende wifi zake kam anavowapendaa dada zake
10.asitumie mtandao mwingne zaid ya Vodacom Tanzania.
Nb:unavigezo ivyoo ni pm nikufanyie interview