Natafuta mchumba

For Those required my Photos. They are all automatically disqulified! kama ulitaja picha usitarajie jibu please!!

Then I consider it as carved-up decision ni vipi mtu anaweza kuapply kwa kivuli? Halafu unasema mmoja yuko more than serious how can u tell from just PM's angalia sis utaingia choo cha kiume halafu utakutana na walume withe hungry baby makers!
 
Join Date 29th January 2010 Total Posts 6
avatar21236_1.gif

......:D:D
 
Don't 4get to shortlist the 104 applicants!

Tell them to be prepared 4 a practical exam as well! (if there's one)
 
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!

Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!

Kijijini kote umekosa? Sinza umekosa? shuleni? kazini? na hapa JF ukikosa basi kaoge na maji ya bahari.
 
Wakata njimbo no!! Loo mbona itakuwa ngumu huo mchujo wa njimbo mimi umenitoa nje sifikirii tena. Niache na njimbo zangu wapo walokole na waswalihina watakufaa.mie simo kabsaaaaaa
 
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!

Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!

kwa avatar yako tu nina wasiwasi na wewe. all the best lakini
 
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!

Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!
sina imani na wewe, kama ndiyo unae onekana katika profile yako, hata hivyo safari njema dada
 
kicheche huyu.kuweni makini jamani wale mnaopenda vya dezo.
kwanza cio mchina product hii.
 
Thanks alot! I think The applications are enough now! please let me read the 104 private massages first. Wakuu aplications zimetosha! Asanteni sana. For those who have Sent me PMs Expect your repplies in two weeks time. Asanteni sana jamani.

What??Are you seriously or ur joking??Huwezi sema unatafuta mchumba alafu useme umepata private messeg 104 i cant believe, huo ni uongo mtupu,then eti utajibu after 2 weeks ina maana haupo serious kabisa.....Acha kupotezea watu mda!!
 
Changa la macho guys....Naona huyu dada hayupo serious pia siajabu akawa member mwanamke wa humu humu ndani anataka kutest watu wapo vipi...Kuweni makini hapo hapa hamna ndoa walala nini......
 
Nimepata applications nyingi. Actually among these applications I have one guy who is actually more than serious!! Asante kwa mwanzilishi wa JF.

Huyo jamaa lazima atakuwa ni mimi.,Dorin thank u in advance.
 
weeeeee! akugeukie harafu umfanye nini? anatafuta mchumba, hatafuti wa kuangalia mgongo!!!! ndiyo nyie nyieeee

"Nyama ya mbele ni kavu ya nyuma ina mafuta, mgongo wake mbavu mate yananitoka" (Bata-Offside Trick ft Mzee Yusufu) "Ukitaka kumfaidi ule umempakata" teh teh teh;)
 
mimi bado mshamba naona...
siwaamini wanawake wanaotafuta wachumba online.

mimi ni no thanx.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom