Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Sina vigezo wala masharti,
Ili mradi anapumua
Asanteni,


Mkuu tembea mitaani popote pale ulipo na kuangalia mwenyewe ni yupi anayekurusha roho, ila kuja hapa na kujitangazia kuwa unataka kabinti ka kuoa ni sawa na kujitafutia matatizo tu kwani hapa JF hutoweza pata mwanmke mzuri. Mtu atajifanya mlokole na kukuambia sifa kibao juu yake ili umchukue kumbe alishakubuku umalaya na sasa katulia kwa kujiita kaokoka, hawa machangu wako wengi sana hapa Dar.
 
Ni kweli kabisa Michelle hapa ni nyumbani na umaarufu wa hili jamvi unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi hivyo kuvutia wanachama wapya kila siku.

Nafurah kuona JF inakuwa na wanachama wanaongezeka, ila mi nautamani uzamani wetu lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We naye ni miongoni mwa vimeo vya jf. UNADHANI KUNA MTU AMBAYE HAPUMUI,KWANI HUKO MTAANI KWAKO HAKUNA WANAOPUMUA MPAKA UJE KWENYE MTANDAO? Hebu kajipange upya dadangu maana naona umebugimen
 
Kumbe tatizo ni umri! Da,ulikuwa wapi muda wote huo? Au ulikuwa hujakutana na mwanaume anayepumua?
 
Nakuelewa Michelle, nimeshasikia kauli kama hiyo mara nyingi tu. Na kwa baadhi nimejaribu kuwapa moyo warudi tu na kuchangia kama ilivyokuwa siku za nyuma. Huwaona wakichungulia na kisha kusepa. Najua majukumu yako ni mengi mno lakini kuchungulia hapa hata kwa saa moja kwa siku, kama muda unaruhusu, inatosha kabisa.

Nafurah kuona JF inakuwa na wanachama wanaongezeka, ila mi nautamani uzamani wetu lol
 
Last edited by a moderator:
Looks like umepoteza tumaini kwamba yeyote atakaejitokeza sawa tu? Pole
 
Nakuelewa Michelle, nimeshasikia kauli kama hiyo mara nyingi tu. Na kwa baadhi nimejaribu kuwapa moyo warudi tu na kuchangia kama ilivyokuwa siku za nyuma. Huwaona wakichungulia na kisha kusepa. Najua majukumu yako ni mengi mno lakini kuchungulia hapa hata kwa saa moja kwa siku, kama muda unaruhusu, inatosha
kabisa.

Nashukuru sana BAK, nitajitahidi kama navyojua na wewe unajitahidi kuwa hapa mara kwa mara. Tuhamie jukwaa lile tukasubiri hukumu ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi wa Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ili mradi anapumua!.. Kweli wewe umevunja rekodi lol!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Habari ya wewe dada, vipi kuhusu Justine? umeshapata habari zake?
watu8 its seems wewe wayajua mengi lolz.. Njoo utoe ma detail hapa rafiki yetu apate mwenza!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
swali langu bado ni lile lile unamaanisha?kama wewe hutaki vigezo mi nape japo kwa chati hata kama hutaki wengine wavijue ni pm basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom