Mkuu ungeweka Ka-CV kako ingeongeza morali kwa Wachumbaz hasa eneo la Kipato isijeikawa unataka kuwa Marioo.
hakuna masihara hapa mchumba
Nilisahau kumbe siku hizi kuna usawa bwana.Tobah!!
Eve, Unamaanisha kweli m-mama?
Nimesiadia kushauri,KA CV KANGU NI HAKA
1. MASTERS DEGREE (FULL TIME UK)
2. CPA (T)
3. MKE NA WATOTO WAWILI
4. MWAJIRIWA SERIKALINI
Nadhani ulitaka hivi.....
Kwa nini unataka kujaribu?
KA CV KANGU NI HAKA
1. MASTERS DEGREE (FULL TIME UK)
2. CPA (T)
3. MKE NA WATOTO WAWILI
4. MWAJIRIWA SERIKALINI
Nadhani ulitaka hivi.....