Natafuta mchumba

Sidhani kama watu wa humu wanatafuta wachumba kweli. Kwanza wanaweka masharti na vigezo vigumu sana mtu ku acquire hizo sifa, hata kuomba kazi masharti na vigezo hulegezwa ili kupata wafanyakazi. Atakuja kutekea mtu humu mwenye masharti na vigezo vya ajabu!
 
Utasikia mtu anasema nataka mchumba bikira mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 25
 
Wanaweza kuwa serous ila vigezo ndio tatizo pia mtu unauhitaji mwingine yupo mwanza anae mpata yupo dar aisee hii SI ni complicated relationship
 
Swali langu ,ikiwa Hawa watu wanahtaji roho za watu na wanakuja kwa style hii ,usalama WA mtu unakuwa wapi kama ataonekana anaikosoa serikalini,,

Akili za kuambiwa changanya za kwako ,,
 
Swali langu ,ikiwa Hawa watu wanahtaji roho za watu na wanakuja kwa style hii ,usalama WA mtu unakuwa wapi kama ataonekana anaikosoa serikalini,,

Akiri za kuambiwa changanya za kwako ,,
Akiri=Akili we ni mkurya mura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…