cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 332
- 1,171
Kila La kheri kwakoNatafuta mchumba umri miaka 34, sifa na muomekano mwembamba mweupe,mrefu kidogo awe muajiriwa wa Songea Ruvuma ,makazi yawe ya kudumu huku songea,dini roman....mimi pia ni muajiriwa karibu dm....usiwe na familia kuanzia watoto wawili ,labda mmoja tu .awe tayari kupima afya.
Wahi bahati yako kwanza jinsia utajua hukohuko baadae...😂Tangazo halionyeshi Jinsia yako
Ndugu mtafutaji😊
KeWe wa kike au wa kiume?
Mi na wanaume wa jf nimekoma.sitakiWahi bahati yako kwanza jinsia utajua hukohuko baadae...😂
Liuli mbona mbali mimi nNiko hapa Liuli, na nina sifa zote ulizozitaja na zingine za ziada.
Ukiniona utanipenda bura kwa maana nina asili ya kiarabu, yaani suriyama 😎
Liuli mbali mimi namtaka wa songea mjini tuwe karibuNiko hapa Liuli, na nina sifa zote ulizozitaja na zingine za ziada.
Ukiniona utanipenda bura kwa maana nina asili ya kiarabu, yaani suriyama 😎
Golden chance, never come twice!Niko hapa Liuli, na nina sifa zote ulizozitaja na zingine za ziada.
Ukiniona utanipenda bura kwa maana nina asili ya kiarabu, yaani suriyama
Vipi tena kilikukuta nini..?Mi na wanaume wa jf nimekoma.sitaki
Nimemsaidia kumkumbusha tu
Nisifke mbali ngoja niishie hapa😊🙌Vipi tena kilikukuta nini..?
Walikufanyaje?Mi na wanaume wa jf nimekoma.sitaki
Nimemsaidia kumkumbusha tu
Basi nitahamia huko mjini, sawa?Liuli mbona mbali mimi n
Liuli mbali mimi namtaka wa songea mjini tuwe karibu
Well said!Golden chance, never come twice!
Usijibanebane ulipewa somo ili uwasomeshe wengine!Nisifke mbali ngoja niishie hapa😊🙌
Unataka kujua? Hata hakuna kitu nimetaniaWalikufanyaje?
Usijibanebane ulipewa somo ili uwasomeshe wengine
Mmh usiwe muongo sasaBasi nitahamia huko mjini, sawa?