Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

1744270183435.jpeg
Tuwasiliane Kipenzi J
 
Wakuu, habari za asubuhi???
Natumani nyie wote n wazima na baadhi yenu mmeamka na furaha ya jana kwa mnyama😂

Sasa wanajf, mwenzenu kaumri kamesogea kidg aisee. Taratibu nauona uzee kwa mbali unasogea. Leo hii natimiza miaka 28. Nipigieni makofi basi niringe🤪

Sasa leo hii nataka niiweke iwe siku special kwangu. Sina ata mia ya mountain dew😁😁😁 ila nahitaji kuweka alama nyingine. Nahitaji ndoa. Kwa sasa nipo Dar. Mm mwenyeji wa mbeya. Kipaumbele n kwa shababi anayetokea mbeya. Japo siyo limit. Nakuomba PM kama upo tayari.
Naomba, huyo HB wangu awe na miaka 28_35. Vingine tutazungumza PM.

Pia kama unazawadi yoyote karibu pm jamani. Si et😂😂 jioni nitawambia nimepata zawadi gani.
Asanteni na karibuni🙏
Kwa ombaomba hi hata kabla hujampata, sijui Kama Kuna kijana atajitoa kuhanga.
Wewe sema tukuchangie Nini siyo kujificha eti zawadi kabla hata sura yako haijulikani.
 
Kwa ombaomba hi hata kabla hujampata, sijui Kama Kuna kijana atajitoa kuhanga.
Wewe sema tukuchangie Nini siyo kujificha eti zawadi kabla hata sura yako haijulikani.
Siyo lazima unipe. Lengo langu likikuwa juu la chini n chombezo tu. So ata nisipopata siwez kununa🙏
 
Mh! andiko lako si serious sana japo kitu unachokiomba ni kitu serious!..
Mi naona umetumia mhemko kuomba kitu cha maisha!, mume ni wakuja kuishi nae ndani na nje lazima muwe wote serious!..
siku yako yakuzaliwa isikufanye tu ndo utafute huyo mume!, ila yote kwa yote nikutakie heri ya kuzaliwa maisha mema na mafanikio yenye baraka bila kusahau watoto wazuri wenye afya ya akili na mwili.
 
Kwa kuwa n tangazo la kusaka nafasi et😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom