Weka namba yako ya simu watakupigia hasa wale ambao hawajawahi kuolewa ila wana mtoto mmoja tu 😂Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.
Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1,
😂😂Mkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka
Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kwanini
Itakuwa ulizungusha ndiyo maana hukupewa chetiMkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka
Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kwanini
Kwani humu mtandaoni wapo wanawake wa porini au?Ivi huwa huk0 mtaani wanawake hamuwa0ni au...??
Nakupa number ya dada angu ana miaka 34 hajaoelewa anatokea familia ya kitajiri ana mtoto mmoja ana gari tatu ameshajenga nyumba mbili kule madale anafanya kazi BOT ana maduka manne ya spear .... kwa shape ni mrefu ana tako mzuri sana.... alizaa na waziri mmoja wakaachana .. mkuu kama unataka hii number 90000tsh upate mke wa maaana ..pia uwage umasikini maana unaoneka wewe ni kapuku .. nakupa connection ya hela wahi leta 90000tsh hiyoMimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.
Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.
Nahitaji mtu ambae kama tukiendana tuje kuingia kwenye mahusiano, kwa aliyetayari aje inbox.
Naona Kapuku na Fukara mmekutanaNakupa number ya dada angu ana miaka 34 hajaoelewa anatokea familia ya kitajiri ana mtoto mmoja ana gari tatu ameshajenga nyumba mbili kule madale anafanya kazi BOT ana maduka manne ya spear .... kwa shape ni mrefu ana tako mzuri sana.... alizaa na waziri mmoja wakaachana .. mkuu kama unataka hii number 90000tsh upate mke wa maaana ..pia uwage umasikini maana unaoneka wewe ni kapuku .. nakupa connection ya hela wahi leta 90000tsh hiyo
Joannah mbona unajieleza sana fursa hiyo usiichezeeMkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka
Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kwanini
wewe unachezea ngapiTatizo umriiii bhana
wewe unachezea ngapiKwenye umri umebana sana
Awe hajaolewa lakini akiwa na mtoto mmoja hujali.Kwa sifa hizo hutokosaMimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.
Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.
Nahitaji mtu ambae kama tukiendana tuje kuingia kwenye mahusiano, kwa aliyetayari aje inbox.
Umeelewa shooMkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka
Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kwanini