Kuna vitu jamii inajitahidi kujifanya havipo lakini ndivyo vinavyotawala.Yani humu mm peke yangu ndio nipo tayari kuoa single mother?!
Acheni kuwanyanyapaa jamani
wata pata tu m/mungu yupo pamoja nao hata jamii iki watengaKuna vitu jamii inajitahidi kujifanya havipo lakini ndivyo vinavyotawala.
Jamii inaassume kuna ndoa za mke na mume mmoja wakati mtaani nyumba ndogo zipo kibao.
Tunaishi Kwenye upande wa uongo zaidi Kuliko kuuishi ukweli
daaaaaa....Golden chance....Nipm mkuuYani humu mm peke yangu ndio nipo tayari kuoa single mother?!
Acheni kuwanyanyapaa jamani
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima.
Kwa Mara ya kwanza najitokeza kuandika Uzi huu special kwaajili ya kumtafuta msaidizi/mke/mchumba aliyeandaliwa kwaajili yangu.
Mimi ni kijana wa miaka 26, nipo Mwanza. Dini yangu mkristo na nina mcha Mungu. Elimu yangu ni ya Chuo, na ni mwajiriwa.
Natafuta rafiki wa kike, atakaekua mchumba na hatimae mke, awe mwenye umri wa miaka kati ya 20 hadi 24, awe mkristo, anae mcha Mungu, awe amehitimu au bado yupo Chuo, na awe hajazaa bado.
Kwa aliye na sifa hizo, ani PM ili tuzungumze zaidi.
Tayaridaaaaaa....Golden chance....Nipm mkuu
Limefanyaje? Na wewe unatafuta?Jicho hilo
Karibu...uje na CV yako!Amazing sana,,,akishindwa yeye , nitajaribu mie
tanzania chama ni kimoja hivo vingine ni kuchumia tumboni mkuu kama hujapata chaka kwenye chako endelea na shughuli zako achana na mambo ya chama mkuu..
Kweli hii nimeipendaKuna vitu jamii inajitahidi kujifanya havipo lakini ndivyo vinavyotawala.
Jamii inaassume kuna ndoa za mke na mume mmoja wakati mtaani nyumba ndogo zipo kibao.
Tunaishi Kwenye upande wa uongo zaidi Kuliko kuuishi ukweli
wata pata tu m/mungu yupo pamoja nao hata jamii iki watenga
Sio ya kielimu, ya kimahusiano!Yangu ni kubwa ajabu ila ni bahati yake aliyewahiakishindwa tu.......
Wewe ni mwanaume ama mvulana?Hiyo ndio iko vizuri kuliko kawaida Iko vizuri ma "x" wote wananitafuta kila kukichaeti nawanyima usingizi......
nimekucheck mkuuTayari
Wewe ni mwanaume ama mvulana?
Namba ya nyumba,kiautu ama ya mtaa?Naomba namba yako tafadhali tuongee
Mm mwanamme miaka 35
Natafuta mke sababu isha divorce
Nasubiri
Nadhani huolewi sababu ya majibu kama hayaNamba ya nyumba,kiautu ama ya mtaa?