mjasiliamali14
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 147
- 21
Mm ni kijana mwajiriwa katika sekta ya umma naitaji mwenza wa kike sibagui dini wala kabira
Income yako kwa mwez na una asset.gani?
Yaani wewe mtoto kwenye hela ni moto wa kuotea mbali. mmh!
Naomba unitajie Mali ulizonazo...naweza kukuPm
mpaka ss hamna hata mmoja aliye ni inbox cjui tatizo nn wakina dada bahati kama izi huwa haziji mara mbili dada zangu
dah hamna ata mmoja jaman ata wakunisalimia kmya kabisa cjui inaashiria nn kunyamaza kimya
Mm ni kijana
mwajiriwa katika sekta ya umma naitaji mwenza wa kike sibagui dini wala
kabira