Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,252
- 10,495
Heheee Waambie hao tena mchuchu mkaree extraordinary
hahahaha!!! the boss mbona najuuuta.
Heheee Waambie hao tena mchuchu mkaree extraordinary
kwahiyo id yake imemkosesha mchuchu husninyo....mimi na fikiri miaka anayoitaka ndiyo tatizoningekupm ila hilo jina lako mmmmh! Hebu mnaotafta wachumba muwe na majina mazuri bana mnajizibia fursa nyie wenyewe. Hivi ukiwa na jina kama the boss unafikiri utachelewa kupata mchuchu? Ni mfano tu jamani. Ok, byee.
Ana wake wangapi?Bas Ntamjulisha Babu Yangu Kingunge Atakufaa