Natafuta mchumba wa kike miaka 24-27 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba wa kike miaka 24-27

Discussion in 'Love Connect' started by commited, Apr 16, 2012.

 1. commited

  commited JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  HABARI ZENU WANA JF WOTE.

  NATUMAINI KWA UWEZO WAKE MUNGU WOTE HATUJAMBO, NINAJITOKEZA KULETA ADHIMA YANGU YA KUTAFUTA MCHUMBA WA KIKE, ALIYE TAYARI KUOLEWA NA KUISHI NA FAMILIA KWA AMANI TUWASILIANE.
  SIFA ZAKE (MWANAMKE) NINAYEMTAFUTA
  1. UMRI MIAKA 24-27
  2. AWE MKRISTO
  3.ELIMU JAPO KUANZIA NGAZI YA DIPLOMA NA KUENDELEA
  4. AWE ANAJIHESHIMU NA MPENDA MAENDELEO
  5. AWE MWEMBAMBA KIASI , MREFU( FT 5-6) NA RANGI YOYOTE

  SIFA ZANGU (MWANAUME

  1. UMRI MIAKA 29
  2. MKRISTO
  3.ELIMU NI GRADUATE (BSC.)
  4. NAFANYA KAZI NA NINAPENDA MAENDELEO, NAJIMUDU KIMAISHA
  5. NI MWEMBAMBA KIASI NA MREFU FUTI 5.6, NI MWEUSI KIASI.
  NAOMBA KWA MWANAMKE ALIYE TAYARI TUWASILIANE KUPITIA howardhans97@yahoo.com
  NAOMBA TUWE SERIOUS TAFADHALI!!!!!!!)

  UKIONA HUNA CHA KUCHANGIA, NI HERI UKAPITA TU.. WAKATI MWINGINE KUKAA KIMYA NI BUSARA NA NI JIBU TOSHA KWA MUUNGWANA... EMAIL ZOTE ZITAJIBIWA BILA SHAKA YOYOTE.KARIBUNI..
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ubarikiwe...sidhani pia itaharibu
   
 3. m

  missilicious Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  una hela????
   
 4. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  haya mi nimekaa kimya na kupita tu.
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  mdogo wangu, nakutakia kla la heri. na mungu akuepushie magumegume yenye kuhadaa vijana kama ninyi. mungu akutane na haja ya moyo wako.
   
 6. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  wewe si yule jamaa alyemalza pale duce,vp yule shemeji yetu umemwacha?
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Huko mtaani wameisha au?
   
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  me kigezo cha elimu tu ndo cna hapo! dah kukîmbia umande kubaya sana...
   
 9. m

  matangarara Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huko chuo ulikosoma hakukuwa na wanawake,... Acha utani!
   
 10. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halijui kutongoza, domo zege. Hapa hupati mtu ng'o. Nenda kanunue machangu. Dume zma unatafuta wanaweke kwny mtandao.
   
Loading...