natafuta mchumba wa kiarabu au kipemba

natafuta mchumba wa kiarabu au kipemba

mbwa kichaa

Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
89
Reaction score
16
Habari za saa hizi

Tunakaribia kumaliza mwaka bado tu siku chache tumalize kwa wale waliofanikiwa mwaka huu ongereni na kwa wale ambao mwaka umewakalia kushoto poleni nisiwachoshe
Mi nimekuja kutoa mada kuwa natafuta mchumbwa wa kiarabu au wa kipemba. Awe na sifa zifuatazo
1. Awe na miaka kuanzia 20 mpaka 23
2.Asiwe mnene xana
3 swala la elimu mi siliangalii xana
4 awe na mapenzi ya kweli
Kama yupo ani PM

Namaliza kwa kusema kwa wale mabongo lala ukitukana au kukejeli mi simuogopi mtu zaidi mungu na mama yangu tuwe wastarabu
 
Atakama yupo sinauhakika kama anaweza kuishi na mbwa kichaa
 
hiyo sifa namba 4! bila kuwa pamoja hayo mapenzi yakweli anayajengaje ndugu yangu! akufikirie tu alfu akupende kweli kweli duh umetisha!
kwa kukusaidia mwaga sifa zako hapo, colour,height,weight,...............!
 
...kuna sehem huki Mwanza inaitwa Kayenze hao binadam wanapatika kwa wingi sana...na kwa hicho kipengele 4 cha sifa,unaweza kujaza behewa kumi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom