Natafuta mchumba toka mtwara na dar

Natafuta mchumba toka mtwara na dar

gohery

Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Hodi humu jamani!jaman hodi sana!nimejitokeza humu nikiamin kuwa jamii forum itanitimizia malengo,mim ni mwanaume mwenye miaka 26 ,ni mrf wastani,maji ya kunde,na mtanashati,nipo single na sijawah kuwa na mpenz,natafuta mchumba atakae kuwa wa kuanza kuniingiza kwenye tathnia ya mapenzi,awe na umri chini ya 25 ,mkristo,awe anaish mtwara au dar,elimu yoyote,anaejua kupenda ,mwenye tabia nzuri,anaeweza kuish maisha ya kawaida syo sista duu,mpole,mpenda maendeleo,anaeyajua angalau kdogo maisha,kabila lolote lile except wachaga,dada mwenye sifa hzo anipm,nimpe namba yangu
 
Orait......kwa hiyo wewe bado ni raw material.......?
 
Baaaa ! Bana wewe mbona wapo kibao. Mtwara n'jini , mikindani , Msimbati, Tandahimba, madimba ,ziwani ,nanguruwe , mtamba swara border , hunakaribishwa kijana
 
Contradiction: Mchumba kutoka Mtwara. Ndani ya maelezo unasema kabila lolote, lakini ukataja mchaga nk lakini pia na dini! Sasa unataka kabila lolote lakini alie wahi kuishi Mtwara na au Dar au ulikusudia nini hasa?
 
Logic ya kabila lolote ANAEISHI DAR AU MTWARA hata sidhan kama ina maana yoyote. Kwamba ukipata Mnyaturu anaeishi Mtwara ni bora kuliko ukipata Mnyaturu anaeishi Morogoro!
 
Najua dogo kasifiwa mambo ya ma..uno

halafu pengine dogo kapiga mahesabu ya gas kule.si unajua tena sasa hivi kila mtu anatupia jicho kusini.vipaombele kibao.ukioa kule ni mtaji mzuri kwa siku zijazo.
 
Gechi haitoki huku Ntwara na hakuna ntu yyt wa huku kuoa mwananke anaetoka nje ya Ntwara au Lindi
 
halafu pengine dogo kapiga mahesabu ya gas kule.si unajua tena sasa hivi kila mtu anatupia jicho kusini.vipaombele kibao.ukioa kule ni mtaji mzuri kwa siku zijazo.

asaidiwe ila du ntwara wengi hawapendi dhambi ya kumnyima mtu walichopewa bure
 
Baaaa ! Bana wewe mbona wapo kibao. Mtwara n'jini , mikindani , Msimbati, Tandahimba, madimba ,ziwani ,nanguruwe , mtamba swara border , hunakaribishwa kijana

usisahau mahuta, lidumbe, mahumbika, newala..

mwacheni kijana apate n'ke
 
Bila shaka wa jf atakuwa mtamu zaidi, kazi kwenu warembo wa jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom