Natafuta mchumba seriously!!

Luali

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
101
Reaction score
11
Niko Scandinavia, na nitafurahi kupata mwanamke aliyeko huku tuwasiliane ili tuone tutafikia wapi. Ningependa kupata mwanamke mwenye kujitambua, mwenye elimu/kazi/biashara yake ama hata mwanafunzi, kati ya miaka 22- 38, awe anaishi kati ya Denmark, Finland, Norway, Germany, Austria, Sweden, Holland, Greenland, Luxembourg, France, Iceland, Ireland/UK. Ikishindikana itakuwa vyema kupata mtu hata aliyeko Australia, Canada, New Zealand ama USA.

Asenti.
 
Denmark, finland, norway sweden? scandinavia kubwa.
Hauchagui dini wala kabila?
Na tabia je? tabia yako na yake?
Umri...........
Umeokoka?
 
huna choice yani wewe wote wote twende tu......... aya aatakuja
 
Niko Scandinavia, na nitafurahi kupata mwanamke aliyeko huko tuwasiliane ili tuone tutafikia wapi.

Ahsante.
Wote kanyaga twende, huna specifications?? Hata miaka 80 it is ok for you!!! Open market system!!
 
Niko Scandinavia, na nitafurahi kupata mwanamke aliyeko huko tuwasiliane ili tuone tutafikia wapi.

Ahsante.

hebu toa maelezo bana ili tujue namna tutakavyokuja kula kipupwe huko.........halafu nimekupenda.....wewe ndio huyo hapo kwenye picha......?
 
Wote kanyaga twende, huna specifications?? Hata miaka 80 it is ok for you!!! Open market system!!

Sasa niweke specs hapa jamani, ebu muwe waungwana jamani si kuna inbox na ni vyema kuwasiliana hivyo ila nitafanyia editing ili ieleweke zaidi.

Asenti
 
Denmark, finland, norway sweden? scandinavia kubwa.
Hauchagui dini wala kabila?
Na tabia je? tabia yako na yake?
Umri...........
Umeokoka?

Sijaokoka. Nimefanya editing ya announcement tena.

Asenti
 
mie nipo hapa uk,sina shule ila ningependa nipate mtu wakunizalisha,kuolewa sitaki ila ningependa kupata mtoto nimlee mwenyewe
 
Mimi niko Akamba, Tukutane Kampala (jokes)

Kila la heri mkuu....
 
mie nipo hapa uk,sina shule ila ningependa nipate mtu wakunizalisha,kuolewa sitaki ila ningependa kupata mtoto nimlee mwenyewe

Dada hicho kibarua kigumu, na Mungu akupe hekima ya kuhitaji familia na si kutafuta mwanaume wa kukupa mtoto utoke nduki.
 
Daaah, sisi tuishio nanjilinji ndo imekula kwetu,so sad..πŸ™
 
Scandinavia ya K,koo au Ubungo?
Hivi nauri ya bukoba siku hizi bei gani mkuu?
Maana sijapanda mabasi yenu kitambo balaa.
 
hebu toa maelezo bana ili tujue namna tutakavyokuja kula kipupwe huko.........halafu nimekupenda.....wewe ndio huyo hapo kwenye picha......?
Wewe upo "Yaenda" bibie, anatafuta wale wa matawi ya juu. Utakomaje mwaka huu, he he he...!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…