Natafuta mchumba mwenye makalio makubwa

Natafuta mchumba mwenye makalio makubwa

Bado habari haijakamilika....je unataka hayo makalio yawe meusi au meupe....au yawe ya mviringo au ya pembe nne........au unataka ya kienyeji au ya kizungu....hebu weka wazi ili tujue tutakusaidiaje.....
rangi yoyote ila yakiwa meupe ni bora zaidi,mviringo , natural kizungu no
 
Madame B Evelyn Salt huyu jamaa anataka kuoa TiGo, firauni baladhuru

Mimi naishi dodoma ,ni mfanyakazi wa taasisi moja wapo ya bunge la tanzania ,sijaoa , ila niko na maisha ya kuridhisha sana nina gari 2 yangu na yake napenda kumwambia hivyo mchumba mwenye sifa iyo, ok karibu mwaaaaaaaa!!!! Sura sio muhimu saaaana, ila awe mtulivuuu
 
Last edited by a moderator:
Mimi naishi dodoma ,ni mfanyakazi wa taasisi moja wapo ya bunge la tanzania ,sijaoa , ila niko na maisha ya kuridhisha sana nina gari 2 yangu na yake napenda kumwambia hivyo mchumba mwenye sifa iyo, ok karibu mwaaaaaaaa!!!! Sura sio muhimu saaaana, ila awe mtulivuuu

Hiko kichwa cha habari na unakofanyia kazi sawasawa!
 
Mkuu kweli unaishi dom ww.. matei longe hupafahamu...pole aiseee
Njia panda ya area d fuata njia inayoenda 84 club..kwambele kidogo ukivuka geti la airport...utakuwa ushafika..
Wanaosha magari kwa nje
 
10401935_268379390013896_8047681622986599303_n.jpg
 
Mkuu kweli unaishi dom ww.. matei longe hupafahamu...pole aiseee
Njia panda ya area d fuata njia inayoenda 84 club..kwambele kidogo ukivuka geti la airport...utakuwa ushafika..
Wanaosha magari kwa nje
nipo njiani naelekea uko sasa, ila mbona kila nikiuliza watu wanacheka vp wanajua nini, nipo na gari yangu v8
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom