Kitimbwisi
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 155
- 72
Nipe ripoti ya hapo sasa
mhhhh ni hatareeeee ila sio wasafi ,sikuchukua hata mmojaNipe ripoti ya hapo sasa
Mimi naishi Dodoma,nafanya kazi wapo ya taasisi moja ya bunge la Tanzania nina maisha ya kuridhisha sana kwani nina nyumba 3,magari 3. yangu, yake naya mtoto ila tu mchumba awe na kitambi kikubwa.Karibu saaana Mfyuu Mfyuu!!
KUMBE NDIYO MAANA MCHINA ALILETA DAWA ZA KUKUZA MAKALIO ILI DADA ZETU WAJIPATIE MAGARI KIRAHISI. ni sheeeeeeeeeedaaaMimi naishi Dodoma ,ni mfanyakazi wa Taasisi moja wapo ya Bunge la Tanzania ,sijaoa , ila niko na maisha ya kuridhisha sana nina gari mbili yangu na yake napenda kumwambia hivyo mchumba mwenye sifa hiyo ok.
Karibu mwaaaaaaaa! Sura sio muhimu sana, ila awe mtulivu.
Sifa ni moja tu makalio makubwa
Changamkia fursa hiyo H.O.E
kigezo sina
Nilifikiri wenye vitambi ni wazembe kumbe ni kwa matakwa ya wenza wao!!?
kigezo sina
mtupiane vijembe mkiwa tayari mtaniambiaOkay kumbe we kimodo, size 8 au...??
mtupiane vijembe mkiwa tayari mtaniambia
Tupo tayari mdau.
Hahaha jinsia yako mkuu tafadhali maana hyo tupo tayari yako imenipa utata
Mimi ni me. Na H.O.E ni ke
Natumaini nimejibu sawa.
Mh ivo mkuu na ww unataka gari au? Maana huyo kasema mkiwa tayar mseme wewe ndo umejibu mpo tayari