Natafuta mchumba(mwanamke)

TEGEMEA

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
369
56
Hongereni kwa kazi wana JF. Mimi ni kijana mwanaume(31).nimeajiriwa na serikali kipato kinanitosheleza .natafuta mchumba mwanamke(21-25).awe mcha mungu,msafi,mrefu wa wastani,mkweli,afya njema.pia awe anaish Mbeya au Iringa.mwenye ajira atapewa kipaumbele.mwenye kutaka nina muomba ani PM,anipe mawasiliano.am serious.
 
duh wewe umetoa sifa zako 3 unataka mke mwenye sifa 8!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom