kazi ipo, yeye ni mwalimu sehemu kubwa ya siku yake imezungukwa na walimu, anaacha kutupa nyavu huko anakuja huku jf, wanawake jf ndio sie wenyewe wa huko mtaani, tena afadhali kudate na mwanamke ambae unamfahamu hata kabla hujamtongoza kuliko habari huku pm, huku ni kama bahati nasibu, ukilamba dume bahati yako ila ukilamba galasa, usrudi kulia, watu mnatafuta matatizo wakati mwingine.
NOTE: mimi najiuliza sana hili swali, inamaana huku jf ndio kuna wanawake wepesi wepesi au ndio kwenye wanawake wenye sifa hadi watu kukimbilia huku?
Mimi namshangaa sana huyu jamaa, najua na Nina uhakika kabisa, katika hiyo shule anayofundisha yeye anaita taasisi, kuna mabinti kibao kuliko wao wa kiume, na anawasikia wakilalamika kuachwa na kutoolewa na wengine kutaka kuzaa nje tu, kwanini asikamatie mmoja..
Ikiwa hao hataki wale wa kila mwaka wapya wanakuja....[/QUOT
Wacha tusubiri mwisho wa jf movie za namna hii.
kazi ipo, yeye ni mwalimu sehemu kubwa ya siku yake imezungukwa na walimu, anaacha kutupa nyavu huko anakuja huku jf, wanawake jf ndio sie wenyewe wa huko mtaani, tena afadhali kudate na mwanamke ambae unamfahamu hata kabla hujamtongoza kuliko habari huku pm, huku ni kama bahati nasibu, ukilamba dume bahati yako ila ukilamba galasa, usrudi kulia, watu mnatafuta matatizo wakati mwingine.
NOTE: mimi najiuliza sana hili swali, inamaana huku jf ndio kuna wanawake wepesi wepesi au ndio kwenye wanawake wenye sifa hadi watu kukimbilia huku?
Ngoja nikwambie kitu Apologise lady , kuna baadhi ya wanaume kumtokea mdada uso kwa uso ni shiiiiiiiiidaaaaaaa! ila kwa kuandika anoana siyo tabu. Kwa kutumia jf, anaweza kukutana na kuanza kuongea na jirani wa mlango unaofwata. kama vile mimi na wewe!!!!!! ha ha ha ha!
omurwanga, kwanza umenichekesha mie, sasa ukiogopa kurusha nyavu utaombaje unyumba au ndio mwendo wa memo kuwekeana mezani?
back 2 our topic: Mimi sikatai unachosema, ila mimi napata shida kuamini kuwa mwanaume anaweza kumpenda mtu asiyemuona, kwa mwanamke ni rahisi sana kumpenda mtu pasi kigezo, kwakua manawake wengi wanaangalia namna mwanaume atakavyomhadle but wanaume kudate na binti hadi hatoe kasoro kibao, sijui huyu kiuno kimepinda, huyu miguu inaelekea kushoto, huyu akiongea kama analia sasa mtu usie muona unamchambua vipi hadi kuona roho ikaridhika, si ndio mambo yakukaa kwenye mahusiano wk 2 then unaanza kulalamika hakuwa kusudio lako, mi naona afadhali hata wanaoenda huko facebk, instragram, angalau unaweza kumuona mtu before hujadate nae. ni mtazamo tu
Yataka moyo kwel kwel na kumshirikisha Mungu, hii ni sawa na mambo ya bahati nasibu

Unachosema ni ukweli na mimi nakubaliana na wewe, na hata mleta mada naye akisha mpata anaye mhitaji baada ya kuonana wataanzisha ka "process" au kamchakato ka kujuana kwanza kabla ya kuvamiana...... yaaani just like we did you and i.[/QUOTE
Basi ni vema, kila la heri

Nikutakie jumapili njema
Nikutakie jumapili njema
nawe pia
hata hapa anaweza kukutumia picha....mnaanza na chat za pm,mnabadilishana namba[mara nyingi namba hizo zinakuwa na whatsapp]....hata kama hajakutumia picha unapanga kuonana nae and u start from there...
Naelewa yote hayo but ukwel ni kwamba haijakaa sawa anyway, yote heri
haijakaa sawa kudate online?? usikariri maisha,binadamu wako tofauti na wanaishi kwenye mazingira tofauti....unaweza usielewe ila kuna watu wanaweza kukaa siku nzima hajapata mtu wa kuongea nae face to face hata kwa dakika moja!
umenielewa vibaya, kudate online ni jambo la kawaida sana wala sikatai lakini inakuwaje ikiwa mshafanya taratibu za mwanzon akakutumia pic siku ya kuonana unakuta ni mtu tofauti na kwenye picha, kumbe picha aliyokutumia niya miaka 7 iliyopita, utamwambia umeghairi? just joke!!!. kifupi nimekuelewa
Ahahahah mchumba mwalimu?? jiandae kuwa na presha.. Maana mhhhh niwajuavyo mimi walimu wa kike wa miaka hii ni warahisi mno
Umetisha kijana una akili sana big up!!!Ngoja nikwambie kitu Apologise lady , kuna baadhi ya wanaume kumtokea mdada uso kwa uso ni shiiiiiiiiidaaaaaaa! ila kwa kuandika anoana siyo tabu. Kwa kutumia jf, anaweza kukutana na kuanza kuongea na jirani wa mlango unaofwata. kama vile mimi na wewe!!!!!! ha ha ha ha!
omurwanga, kwanza umenichekesha mie, sasa ukiogopa kurusha nyavu utaombaje unyumba au ndio mwendo wa memo kuwekeana mezani?
back 2 our topic: Mimi sikatai unachosema, ila mimi napata shida kuamini kuwa mwanaume anaweza kumpenda mtu asiyemuona, kwa mwanamke ni rahisi sana kumpenda mtu pasi kigezo, kwakua manawake wengi wanaangalia namna mwanaume atakavyomhadle but wanaume kudate na binti hadi hatoe kasoro kibao, sijui huyu kiuno kimepinda, huyu miguu inaelekea kushoto, huyu akiongea kama analia sasa mtu usie muona unamchambua vipi hadi kuona roho ikaridhika, si ndio mambo yakukaa kwenye mahusiano wk 2 then unaanza kulalamika hakuwa kusudio lako, mi naona afadhali hata wanaoenda huko facebk, instragram, angalau unaweza kumuona mtu before hujadate nae. ni mtazamo tu
Yataka moyo kwel kwel na kumshirikisha Mungu, hii ni sawa na mambo ya bahati nasibu
Mwalimu wa vidudu
Tena hao ndio wa ukweli hao, maana wanajuwa sana kulea familia katika maadili bora....