Natafuta mchumba mwalimu!

Natafuta mchumba mwalimu!

sina maana hiyo! lengo ni kueleza true details of mine@ langilanga
 
------- nini weweee, yani we ndo unatuona walimu ni makasha eeeh! eti nina elimu ya chuo kikuu, elimu ya chuo kikuu ndo mnyama gani? hiyo ndo elimu ya kutangaza hapa!

Umekurupuka ndugu
 
Hawa wake wanaopatikana kwa njia ya mtandao huwa sina imani nao:smile-big::smile-big::smile-big::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
 
Nlitaka kuuliza kitu hicho hicho..!!
Mwenye jibu atakuwa ametusaidia na wengine pia

wengi wanaamini wana weledi wa kulea.

assume mwalimu wa primary anavyo deal na watoto! ni zaidi ya mzazi. hichi kimekuwa kikishawishi wengi though nowadays fani imevamiwa.
 
hv ni kwann watu wengi wanapenda kuoa walimu??

Ukioa mwalimu wa shule ya msingi hofu nyingi hakuna. Atatongozwa na nani? Walimu wakiume wenzake wote choka mbaya, Wanafunzi hamna kitu. Ukioa banker kilasiku anadili na watu wenye hela inawezekana labda wengine wamekuzidi....Amani lazima iwe mkononi hapo!
 
haya kilalakherini, kwahiyo kumbe ni walimu wa primary tu? vp wa sekondari na vyuo?
 
Kuna hii watu hupenda kusema "Awe na hofu ya mungu" huwa inanichanganya sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom