Natafuta mchumba mwalimu!

Natafuta mchumba mwalimu!

Man Ngosha

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
219
Reaction score
69
Habari wana Jf, Mimi ni kijana wa kiume, Nina miaka 28, naishi Dodoma! kabila langu ni msukuma, nina elimu ya chuo Kikuu na pia nimeajiriwa! Natafuta mpenzi/ mchumba mwenye sifa zifuatazo; umri 21 - 25, awe MWALIMU ), awe anaishi au anatarajia kuishi Dodoma, awe mkiristo na mwenye hofu ya mungu!!! Kwa aliye tayari AniPM
 
Ni wavumilivu na wana muda wa kulea na kukaa na familia hata manesi pia
 
bankers sina nao hamu hata kidogo!! nangojea wangu
 
du ngoja nami nikasome ualimu hizi kaz zetu zinatukosesha ndoa kwan wanaume wengi wanataka walimu
 
Duce wamejaa tele kama kumbikumbi, wananja sana hawa walimu watarajiwa. Tafuta nauli uje ujichagulie mwenyewe.
 
itabidi nifanye mpango huo, manake Nina dhamira ya kweli
 
nenda chuoni utawapata, walokwisha kuajiriwa wako busy na lasson plan huku hata hawapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom