Natafuta mchumba/mume

Angalieni msije mka date na dada zenu wa kuzaliwa. Wizi mtupu hapa jf.
 
Kwa nini watu wengi wanatumia elimu ndio kigezo kwani kuolewa inaolewa degree yako au ni wewe mwenyewe? Eti nina masters so what?? Mwenza hutoka kwa mungu uwe umesoma hujasoma mungu akikubariki hakuna atayapinga. Acheni ulimbukeni. Mwombe mungu atakupa na kujaza haja za moyo wako.

ulitaka aseme ana matiti makubwa, mahips na ******?
 
wewe mdini sana. Lazima awe mkristo? Mimi nakutaka lkn usilimu
Mh! Karibu MS, nilijua tu kwamba itakuwa hivi kwako, na nilimwambia huyu dada maskini kuwa ustaadh MS hatokubali ubaguzi huu! but utamchilimichaaaa eh! MS wee, lah akikataa kuchilimu bac waweza mua-approach da Nilha, tena msomi kama huyo wa Al madrasatul-Sharja Isl. University!
 
mi nawaambia huu uchumba wa mitandao na soft copy tutakuja tulaumiane
 
Mh! Karibu MS, nilijua tu kwamba itakuwa hivi kwako, na nilimwambia huyu dada maskini kuwa ustaadh MS hatokubali ubaguzi huu! but utamchilimichaaaa eh! MS wee, lah akikataa kuchilimu bac waweza mua-approach da Nilha, tena msomi kama huyo wa Al madrasatul-Sharja Isl. University!

Hivi MS ni mwanaume au Demu??
 
Mm khalifa Saidi (28) najitokeza natafuta mchumba msichana muislam umri 18 - 22, awe mweupe wa asili, mwembamba ila napenda sura nzuri, shep inamata, aliotayari anitafute kupitia 0689 857 985, Email: halsalha2012@gmail.com. mm ni maji ya kunde, sio mnene,mrefu wastani, maisha ninayoishi ya kawaida mm sio tajiri, nimejiari, kwa mkiristu kama atapenda kubadili dini poa. Nina amini mchumba anatoka popote hata bar inawezekana.
 
habari yako mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom