Natafuta mchumba/mume

Nakutakia heri mungu akupatie mchumba kama alivyonipatia mie wangu kutoka hapa hapa.
Tanguliza maombi kwani ni muhimu.
Kila la kheri.
 
JF hakuna muowaji wachapaji wapo tena wa kumwaga mume bora hutoka kwa Mungu! Dumu katka maombi
 
masa2009 has been banned for 30 days for strong language. Kuna baadhi ya maneno ni hekima ya kawaida kutambua kuwa haya stahili kutamkwa hadharani kwa hiyo member huyu hana kisingizio.
 
JF hakuna muowaji wachapaji wapo tena wa kumwaga mume bora hutoka kwa Mungu! Dumu katka maombi

Mkuu hapana bana ..mi mbona nimempta mama gaude wangu humu humu ..na sasa maisha ni level seat...kila siku sikukuu tu...wengine pamoja na kwamba tunapigwa BAN na MODs lakini JF ndo imetupatia wake...Check signature yangu ..hahaaa ..

NB: yale mambo yetu nashugulikia mkuu
 
all the best Annoy u neva know wako wa moyoni labda atapatikana hapa JF .
Good luck
 
Mimi ninatoa pendekezo!!kama utakubali m-pm The finest!!anakufaa niushauri tu!!:peep:
 
Mimi niko 28 natafuta mume.
Awe mkristo, awe serious na maisha.
Nategemea tutasaidiana kimaisha maana nami nimesoma nina degree na niko shule nasoma masters kwa wakati huu.
Kupima afya ni first greetings na kushiriki kwenye maombi ni muhimu.
Mengine tutauzana kwa atakaye nicontact.
Aliye serious ani email at m82y2k@yahoo.com

Da Annoy, kuna Malaria Sugu anatafuta mchumba nae, sasa hiyo red coulor sjui itakuwaje!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom