Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Wiki ijayo natimiza 30, Mhaya, Mlutheri na nimepata promotion kazini now ni CFO. Nipm
 
Nina sifa unazohitaji, sura yangu maji ya maharage, nime- do sana tuu kama wewe, umri wangu 30, kwenye 6×6 na- do vinne kwa saa. ( six bits per hour). Ni pm, ila hata hapa unaweza nijibu hata ukinidhalilisha huwa sina aibu.
 
Duuh Iwe Kaisiki bojo, mm nimekosa Kigezo kimoja tu, nina Mtoto tayari. Endelea kutafuta ila ni Malaika tu ndo mwenye sifa zote unazotaka.
 
Una takooooo namaanisha churaaa?????
 

Oije kununjaa!
 
Tatizo la wahaya umalaya,majivuno,kiburi na kutopenda ndugu wa mwanaume any way nna miaka 30 elimu yangu ni f6 nna kampuni yangu na nyumba mbili za maana tu, nnayo magali mawili ya kutembelea na account yangu iko vizuri kama uko tayali ni pm ntakuoa.
Watake radh wahaya bhnaaa......hizo zilipendwa....[HASHTAG]#ngosha[/HASHTAG]
Nitaleta bandiko
 
Got it. Nifuate PM right now ila nina kazi ya kawaida tu.
 
Inasemekana mabinti wa kihaya hawanaga uchoyo na papuchi sasa ukiwekwa ndani utakuwa unawakatia majirani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…