Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Kila la kheri. Tatizo viburi vinawaponza, mimi msukuma nilipanga kumuoa muhaya akimaliza chuo kamaliza na mapenzi yakaisha!
 
Ushapukuchuriwa huko leo unataka mwanaume mweny sifa za yesu kwenda huko.

DumeSuruali
 
hivi uko mtaani kweli hampati watu? maan humu ata mrejesho hamleti kama mmeshapata leteni mrejesho ili na sisi tuweke mabandiko yetu
njoo kwangu
tutaleta mrejesho na watoto wawili washuhudie..
 
Wakat haujafka
 
Stunter the bosss[emoji3]
 
Tatizo la wahaya umalaya,majivuno,kiburi na kutopenda ndugu wa mwanaume any way nna miaka 30 elimu yangu ni f6 nna kampuni yangu na nyumba mbili za maana tu, nnayo magali mawili ya kutembelea na account yangu iko vizuri kama uko tayali ni pm ntakuoa.
 
mpm wewe mke huyo hapo
 
ushajipatia mke huyo mkuu
 
hahahaa!
ngosha, huu wembe lazima ukate mtu humu..damn!
gold diggers wont let you down man...
 
omba iwezo wa kuumba umuumbe wako... kwa hivi vigezo hupati mtu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…