Kamiss Tarented
Member
- Nov 7, 2016
- 50
- 35
Kwa masharti haya ujiandae kuweka shuka nyeupe hadharani. Asije akakuta imeshavurugwa na kuwa handakiMimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.
Duh hayo mashart kama ww ndio unatoa mahari haya wasubir wajeMimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.
sitaki bikra,,, ila kama hujawahifanya usijar najua ,,tutafundishanaAs see kwel inshomireee
Aya mama somo limeeleweka ntajitahd nione piemu kukojesitaki bikra,,, ila kama hujawahifanya usijar najua ,,tutafundishana
mi nimekutrust tayari, basi nipm picha yako!Mimi nimesema nilisha do. tayari kwa iyo haina shida ya shuka jeupe, pia picha siweki maana nahitaji mtu wa kunitrust kweli kwanza , na tatu mm sio mzuri sana , ni wa wastani , mwembamba afu maji y a kunde ila sina sura mbaya pia kwenye hilo group simo,, ni wa kati
yaonyeshà kamiss mtaalamu wa "kuruka majoka" wwsitaki bikra,,, ila kama hujawahifanya usijar najua ,,tutafundishana